WALIVYOWAKOA MAJAMBAZI WALIONUSURIKA KIFO ZANZIB
Mtuhumiwa
wa ujambazi akiwa ndani ya gari ya Polisi baada ya kupata kipigo kutoka
kwa Wananchi wenye hasira wakati wakiwa katika harakati za kutaka
kukimbia jirani na skuli ya darajani baada ya kutelekeza gari waliokuwa
wakiitumia aina ya Noah.
Mmmoja
watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya ulinzi
wa Polisi akiwa katika gari waliokuwa kulitumia kwa ujambazi huo.aina ya
Rav4. 

Wananchi
wakiwa na asira wakiwa katika mtaa wa darajani wa wakishuhudia jeshi la
Polisi Zanzibar kuzima jaribio la ujambazi katika maeneo ya darajani
makonte, na kuwadhibiti majambazi watatu wakiwa katika harakati za
kuvumia katika maeneo hayo kwa kutaka kupora, majambazi wawili
wamekamatwa na mmoja kukimbia.
Gari aina ya Noah linalosadikiwa lilitumika katika tukio la ujambazi
katika maeneo ya darajani likiwa limetelekezwa baada ya watumiwa hao
wakiwa katika harakati za kuwakimbia Askari katika eneo la mbele ya
skuli ya darajani.
0 comments:
Post a Comment